Mkuu wa shule anapenda kuwatangazia kua, kutakua na course ya pre-form one kwa wanafunzi wote walio maliza darasa la 7 ambayo itaanza tarehe 17/10/2022 hadi 17/12/2022 kwa ada ya Tsh. 20,000/= tu kwa mwezi kwa wanafunzi wa kutwa na chai pia watapata.

Ada kwa wanafunzi wa bweni pre-form one ni Tshs 100,000/= TU kwa mwezi.

Pia Mtihani wa kujiunga form I utafanyika hapa shuleni Embeko tarehe 17/10/2022, na kila siku ya Jumamosi.

Shule inapatikana karibu na kanisa la KKKT Dayosisi ya Dodoma.